Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Kalenda

Fuatilia muda – jifunze jinsi ya kusasisha miadi, kazi, na ratiba zako.

Dhibiti kalenda

Gusa Kalenda > dehaze, na uchague aina ya kalenda unayotaka kuona.

Kalenda huongezwa kiotomatiki wakati unapoongeza akaunti kwenye simu yako. Ili kuongeza akaunti mpya na kalenda, nenda kwenye menyu ya programu na uguse Mipangilio > Akaunti > Ongeza akaunti.

Ongeza tukio

Ili kukumbuka miadi au tukio, iongeze kwenye kalenda yako.

  1. Katika Kalenda, gusa add na uchague aina ya ingizo.
  2. Charaza maelezo unayotaka, na uweke saa.
  3. Ili kufanya tukio lijirudie siku fulani, gusa Chaguo zaidi > Isijirudie, na uchague ni mara ngapi tukio linapaswa kujirudia.
  4. Ili kuhariri muda wa ukumbusho, gusa muda unaosalia, na uchague muda unaotaka.
Dokezo: Ili kuhariri tukio, gusa tukio na mode_edit, na uhariri maelezo.

Futa miadi

  1. Gusa tukio.
  2. Gusa more_vert > Futa.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Fungua na ufunge programu
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Picha za skrini
  • Maisha ya betri
  • Okoa gharama ya utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida
  • Andika maandishi
  • Tarehe na saa
  • Kalenda
  • Saa na kengele
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you