Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Simu

Piga simu

  1. Gusa phone.
  2. Charaza nambari, au gusa group na uchague jina unalotaka kupigia simu.
  3. Gusa phone. Ikiwa umeingiza SIM ya pili, gusa aikoni inayolingana ili kupiga simu kutoka kwa SIM maalum.

Jibu simu

Wakati simu inaita, pitisha juu ili kujibu.

Dokezo: Hutaki kuweka simu yako katika hali kimya, lakini huwezi kujibu sasa hivi? Ili kunyamazisha simu inayoingia, bonyeza kitufe cha kupunguza sauti. Pia unaweza kuweka simu yako kunyamazisha mlio wakati unapochukua simu: gusa Mipangilio > Mfumo > Ishara > Nyamazisha ikichukuliwa, na uwashe.

Ikiwa unataka kuweza kukataa simu inayoingia kwa kupindua simu, gusa Mipangilio > Mfumo > Ishara > Pindua ili ukatae simu, na uwashe.

Kataa simu

Ili kukataa simu, pitisha chini.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Unganika na marafiki na familia yako
  • Simu
  • Anwani
  • Tuma na upokee ujumbe
  • Barua
  • Tangamana na watu

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you