Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Misingi ya kamera

Je, kwa nini ubebe kamera ya kando kama simu yako ina kila kitu unachohitaji ili kunasa kumbukumbu? Kwa kutumia kamera ya simu yako, unaweza kupiga picha au kurekodi video kwa urahisi.

Piga picha

Piga picha nzuri na maridadi – nasa nyakati bora katika albamu ya picha yako.

  1. Gusa Kamera.
  2. Lenga unachotaka kupiga picha.
  3. Gusa panorama_fish_eye.

Jipige picha

Unahitaji kujipiga picha nzuri? Tumia kamera ya mbele ya simu ili kupiga picha hiyo.

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa kubadilisha kwa kamera ya mbele.
  3. Lenga unachotaka kupiga picha.
  4. Gusa panorama_fish_eye.

Piga picha za panorama

Gusa Kamera > Panorama na ufuate maagizo kwenye simu yako.

Uhuisha picha zako

Je, unataka kuona picha zako zikiwa video fupi?

  1. Gusa Kamera > Zima mwendo > Washa mwendo.
  2. Lenga unachotaka kupiga picha.
  3. Gusa panorama_fish_eye.
  4. Chagua picha uliyopiga, unaweza kuiona katika kona ya chini kulia.
  5. Gusa ili kuona picha yako ikihuishwa.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Have fun with the camera
  • Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you