Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Saa na kengele

Saa yako sio ya kengele tu – jifunze ni nini kingine unachoweza kufanya.

Tumia kipima saa

Hakuna kuunguza chakula tena – tumia kipima saa ili kupima saa zako za upishi.

  1. Gusa Saa > KIPIMA SAA.
  2. Weka muda wa kipima saa.

Tumia saa ya michezo

Tumia saa ya michezo ili kuona jinsi unavyoweza kuimarika kwa mbio.

Gusa Saa > timerKIPIMIA SAA.

Weka kengele

Unaweza kutumia simu yako kama saa ya kengele.

  1. Gusa Saa > access_alarmSaa.
  2. Ili kuongeza kengele, gusa add_circle.
  3. Ili kurekebisha kengele, iguse. Ili kuweka kengele kujirudia katika tarehe maalum, weka tiki kwenye Rudia na uangazie siku za wiki.

Sinzisha kengele

Ikiwa bado hutaki kuamka, wakati kengele inapotoa sauti, pitisha kengele kushoto. Ili kurekebisha muda wa kusinzisha, gusa Saa > more_vert > Mipangilio > Muda wa kusinzisha na uchague urefu kama upendavyo.

Zima kengele

Wakati kengele inapotoa sauti, pitisha kengele kulia.

Futa kengele

Gusa Saa > access_alarmKENGELE. Chagua kengele, na uguse deleteFuta.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Fungua na ufunge programu
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Picha za skrini
  • Maisha ya betri
  • Okoa gharama ya utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida
  • Andika maandishi
  • Tarehe na saa
  • Kalenda
  • Saa na kengele
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you