Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Kwa usalama wako

Soma maelekezo haya rahisi. Kutoyafuata kunaweza kuwa hatari au kinyume cha sheria na masharti. Kwa maelezo zaidi, soma mwongozo kamili wa mtumiaji.

ZIMA KATIKA MAENEO YALIYOKATAZWA

ZIMA KATIKA MAENEO YALIYOKATAZWA

Zima kifaa wakati matumizi ya kifaa cha mkononi yamekatazwa au wakati yanaweza kusababisha mwingiliano au hatari, kwa mfano, ndani ya ndege au hospitalini, au karibu na vifaa vya matibabu, mafuta, kemikali, au maeneo yenye mlipuko. Tii maagizo yote katika maeneo yaliyozuiwa.

USALAMA BARABARANI HUJA KWANZA

USALAMA BARABARANI HUJA KWANZA

Tii sheria zote za mahali ulipo. Daima iache mikono yako iwe huru wakati unaendesha gari. Kitu cha kuzingatia kwanza unapoendesha gari unapaswa kuwa usalama barabarani.

MWINGILIANO

MWINGILIANO

Vifaa vyote visivyotumia waya vina uwezekano wa kupata mwingiliano, ambao unaweza kuathiri utendaji kazi wake.

HUDUMA ILIYOIDHINISHWA

HUDUMA ILIYOIDHINISHWA

Watu walioidhinishwa tu ndio wanaweza kuweka au kukarabati bidhaa hii.

BETRI, CHAJA, NA VIFAA VINGINE VYA ZIADA

BETRI, CHAJA, NA VIFAA VINGINE VYA ZIADA

Tumia betri, chaja, na vifaa vya ziada ambavyo vimeidhinishwa na HMD Global Oy kwa ajili ya matumizi na kifaa hiki tu. Usiunganishe bidhaa ambazo haziendani pamoja.

WEKA KIFAA KIKIWA KIKAVU

WEKA KIFAA KIKIWA KIKAVU

Ikiwa kifaa chako kinazuia maji, angalia ukadiriaji wake wa IP katika ainisho za kiufundi za kifaa kwa maelekezo zaidi tondoti.

SEHEMU ZA GLASI

SEHEMU ZA GLASI

Kifaa na/au skrini yake imetengenezwa kwa glasi. Glasi hii inaweza kuvunjika kifaa kikiangushwa mahali pagumu au kupokea mgongano mzito. Glasi ikivunjika, usiguse sehemu za glasi za kifaa au ujaribu kuondoa glasi iliyovunjika kutoka kwa kifaa. Acha kutumia kifaa hadi glasi ibadilishwe na mhudumu aliyeidhinishwa.

LINDA UWEZO WAKO WA KUSIKIA

LINDA UWEZO WAKO WA KUSIKIA

Kuzuia madhara yanayowezekana ya kusikia, usisikilize katika viwango vya juu vya sauti kwa muda mrefu. Kuwa mwangalifu wakati unashikilia kifaa chako karibu na sikio wakati kipaza sauti kinatumika.

SAR

SAR
Kifaa hiki kinatimiza matakwa ya maelekezo ya ujiwekaji wazi kwa frikwensi za redio wakati kikitumika ama kwenye mkao wa kawaida kwenye sikio au wakati kikiwekwa angalau sentimita 1.5 (inchi 5/8) kutoka kwenye mwili. Thamani maalum za juu za SAR zinaweza kupatikana katika sehemu ya Maelezo ya Cheti ya (SAR) ya mwongozo huu wa mtumiaji. Kwa maelezo zaidi, angalia sehemu ya Maelezo ya Cheti (SAR) ya mwongozo huu wa mtumiaji au nenda kwenye www.sar-tick.com.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Maelezo ya bidhaa na usalama
  • Kwa usalama wako
  • Huduma za mtandao na gharama
  • Simu za dharura
  • Kuhudumia kifaa chako
  • Uchakataji upya
  • Alama ya pipa iliyo na mkato
  • Maelezo ya betri na chaja
  • Watoto wadogo
  • Vifaa vya matibabu
  • Vifaa vya matibabu vinavyopachikwa
  • Vifaa vya kusaidia kusikia
  • Linda mtoto wako dhidi ya vitu vyenye madhara
  • Magari
  • Mazingira yanayoweza kulipuka
  • Habari ya utoaji cheti (SAR)
  • Kuhusu Usimamizi wa haki za Dijitali
  • Hakimiliki na ilani

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you