Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Google Play

Simu yako ya Android inaweza kutumika kikamilifu kwa kutumia Google Play – programu, muziki, filamu na vitabu vinapatikana zote uweze kuzifurahia.

Ongeza akaunti ya Google kwenye simu yako

  1. Gusa Mipangilio > Akaunti > Ongeza akaunti > Google. Ukiulizwa, thibitisha mbinu ya kufunga kifaa chako.
  2. Andika hati tambulishi za akaunti yako ya Google na uguse Ifuatayo, au, kuunda akaunti mpya, gusa Unda akaunti.
  3. Fuata maagizo kwenye simu yako.

Pakua programu

Fungua uwezo wa simu yako – kuna maelfu ya programu zinazosubiri katika Duka la Google Play ya kukusaidia na hii.1
  1. Gusa Play Store.
  2. Gusa upau wa utafutaji ili utafute programu, au chagua programu kutoka kwenye mapendekezo yako.
  3. Katika ufafanuzi wa programu, gusa SAKINISHA ili upakue na usakinishe programu.

Ili kuona programu zako, nenda kwenye skrini ya mwanzo na utelezeshe juu kutoka chini ya skrini.

Sasisha programu

Sasisha programu zako za Play Store ili upate vipengele vyote vipya na utatue hitilafu.
  1. Gusa Play store > menu > Programu na michezo yangu ili uone visasisho vinavyopatikana.
  2. Gusa programu yenye kisasisho na SASISHA.

Unaweza pia kusasisha programu zote mara moja. Katika Programu na michezo yangu, gusa SASISHA ZOTE.

Ondoa programu zilizopakuliwa

Gusa Play Store > menu > Programu na michezo yangu, chagua programu unayotaka kuondoa, na uguse SANIDUA.

Pata muziki, filamu, au vitabu kwa kutumia Google Play

Ukiwa na Google Play, unaweza kupata mamilioni ya nyimbo, filamu, na vitabu.

Gusa Muziki, Filamu, au Vitabu ili kujifunza zaidi.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Programu na huduma
  • Google Play

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you