Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Arifa

Pata kujua kinachoendelea kwenye simu yako kwa kutumia arifa.

Tumia paneli ya taarifa

Unapopokea arifa mpya, kama vile ujumbe au simu zisizojibiwa, aikoni ya kiashiriaji huonekana kwenye upau wa hali juu ya skrini. Ili kuona maelezo zaidi kuhusu arifa, kokota chini upau wa hali. Ili kufunga mwonekano, pitisha juu kwenye skrini.

Ili kufungua paneli ya arifa, kokota upau wa hali chini. Ili kufunga paneli ya arifa, pitisha juu kwenye skrini.

Ili kubadilisha mipangilio ya taarifa ya programu, gusa Mipangilio > Programu na arifa > na uguse jina la programu ili ufungue mipangilio ya programu. Gusa Arifa. Unaweza kuzima au kuwasha arifa kwa kila programu kivyake.

Kidokezo: Ili kuona nukta za arifa, gusa Mipangilio > Programu na arifa > Arifa na ubadilishe Ruhusu nukta za arifa kwa washa. Nukta ndogo itaonekana kwenye ikoni ya programu, ikiwa una arifa, lakini bado hatujaishughulikia. Gusa na ushikilie ikoni ili kuona chaguo zinazopatikana, Unaweza kugusa arifa ili kuifungua, au telezesha ili kupuuza.

Tumia ikoni za mpangilio wa haraka

Tumia ikoni za mpangilio wa haraka

Ili kuamilisha vipengele, gusa ikoni za mipangilio ya haraka kwenye paneli ya arifa. Ili kuona ikoni zaidi, kokoa menyu chini.

Ili kupanga upya ikoni, gusa mode_edit, gusa na ushikilie ikoni, na uikokote kwenye eneo lingine.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Fungua na ufunge programu
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Picha za skrini
  • Maisha ya betri
  • Okoa gharama ya utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida
  • Andika maandishi
  • Tarehe na saa
  • Kalenda
  • Saa na kengele
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you