Kutumia baadhi ya vipengele na huduma, au kupakia maudhui, pamoja na vipengee visivyolipishwa, uhitaji muunganisho wa mtandao. Hii huenda ikasababisha uhamishaji wa viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya data. Huenda pia ukahitajika kujisajili kwa baadhi ya vipengele.
Muhimu: Huenda 4G/LTE isikubaliwe na mtoa huduma wa mtandao wako au na mtoa huduma unayemtumia wakati unasafiri. Katika hali hizi, huenda usiweze kupiga au kupokea simu, kutuma au kupokea ujumbe au kutumia miunganisho ya data ya simu. Ili kuhakikisha kifaa chako kinafanya kazi vizuri wakati huduma ya 4G/LTE haipatikani, inapendekezwa kwamba ubadilishe kasi ya juu zaidi ya muunganisho kutoka 4G hadi 3G. Ili kufanya hivi, kwenye skrini ya mwanzo, gusa
Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.
Start chatPrefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.
Find a care center near you