Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 110 (2019)

Skip to main content
All Devices

Nokia 110 (2019)

Vitufe na sehemu

Simu yako

Simu yako

Mwongozo huu wa mtumiaji unatumika kwa modeli ifuatayo: TA-1192

  1. Kitufe cha simu
  2. Kitufe cha uchaguzi cha kushoto
  3. Kitufe cha kutembeza. Bonyeza ili ufikie programu zako na vipengee vilivyochaguliwa.
  4. Kifaa cha masikio/Kipaza sauti
  5. Kiunganisha USB
  6. Tochi
  7. Kiunganisha kifaa cha sauti
  8. Kamera
  9. Nafasi ya kufungua kifuniko cha nyuma
  10. Kitufe cha uchaguzi cha kulia
  11. Kitufe cha Kukamilisha/Nishati
  12. Maikrofoni

Jiepushe kugusa eneo la antena bila sababu wakati antena inatumika. Ugusaji antena huathiri ubora wa mawasiliano na unaweza kupunguza maisha ya betri kwa sababu ya kiwango cha juu zaidi cha nishati wakati wa utendaji kazi.

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au vifaa vyovyote vya sauti kando na vile vilivyoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti. Sehemu nyingine za kifaa hiki zina sumaku. Vitu vya chuma vinaweza kuvutwa na kifaa. Usiweke kadi za karadha au vitu vingine vyenye kutumia hifadhi ya sumaku karibu na kifaa hiki, kwa sababu maelezo yaliyohifadhiwa kwenye vitu hivyo yanaweza kufutika.

Baadhi ya vifaa vya ziada vilivyotajwa katika mwongozo huu wa mtumiaji, kama vile chaja, kifaa cha kichwa, au kebo ya data, huenda vikauzwa kando.

Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you