Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 2.4

Skip to main content
All Devices

Nokia 2.4

Maisha ya betri

Pata mengi kutoka kwa simu yako ukipata maisha ya betri unayotaka. Kuna hatua unazoweza kuchukua kuokoa nishati kwenye simu yako.

Ongeza maisha ya betri

Kuokoa nishati:

  1. Daima chaji betri kabisa.
  2. Nyamazisha sauti zisizohitajika, kama vile sauti za mguso. Gusa Mipangilio > Sauti > Mipangilio ya kina, na chini ya Sauti na mitetemo mingine, chagua ni sauti gani za kuweka.
  3. Tumia vifaa vya sauti vyenye waya, badala ya kipasa sauti.
  4. Weka skrini ya simu ili kuzima baada ya muda mfupi. Gusa Mipangilio > Skrini > Mipangilio ya kina > Muda wa kuisha wa skrini na uchague muda.
  5. Gusa Mipangilio > Skrini > Hali ya mwangaza. Ili kurekebisha mwangaza, kokota kitelezi cha hali ya mwangaza. Hakikisha kwamba Mwangaza uliorekebishwa umezimwa.
  6. Komesha programu zinazoendeshwa kichini chini: gusa stop, telezesha kulia kwenye programu zote na uguse FUTA ZOTE.
  7. Tumia huduma za eneo kwa kuchagua: zima huduma za eneo wakati hauzihitaji. Gusa Mipangilio > Eneo, na ulemaze Tumia eneo.
  8. Tumia miunganisho ya mtandao kwa kuchagua: washa Bluetooth wakati inahitajika tu. Tumia muunganisho wa Wi-Fi ili uunganishe kwenye intaneti, badala ya muunganisho wa data ya simu. Komesha simu yako kutafuta mitandao inayopatikana ya pasi waya. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti > Wi-Fi, na ulemaze Tumia Wi-Fi. Kama unasikiliza muziki au unatumia simu yako, lakini hutaki kupiga au kupokea simu, washa hali ya ndege. Gusa Mipangilio > Mtandao na Intaneti > Hali ya ndege. Hali ya ndege hufunga miunganisho kwenye mitandao ya simu za mkononi na huzima vipengele pasiwaya vya kifaa chako.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Kisaidizi cha Google
  • Maisha ya betri
  • Ufikiaji
  • Redio ya FM

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you