Ni rahisi kutumia intaneti kwenye kompyuta yako ndogo mahali popote. Fanya simu yako iwe mtandao-hewa wa Wi-Fi, na utumie muunganisho wako wa data ya simu ili ufikie intaneti kwenye kompyuta yako ndogo au kifaa kingine.
Kifaa kile kingine hutumia data kutoka kwa mpango wako wa data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya matumizi ya data. Kwa maelezo kuhusu upatikanaji na gharama, wasiliana na mtoa huduma wa mtandao wako.
Ili kuvinjari wavuti, lazima uunganishwe kwenye intaneti.
Gusa
Hakuna haja ya kompyuta – unaweza kuvinjari intaneti kwa urahisi kwenye simu yako.
Wakati unataka kutembelea tovuti kadhaa kwa wakati mmoja, unaweza kufungua vichupo vipya vya kuvinjari na uvitumie vyote kwa wakati mmoja.
Katika Chrome,
Katika Chrome,
Katika Chrome,
Chunguza wavuti na ulimwengu wa nje kwa kutumia Utafutaji wa Google. Unaweza kutumia kibodi kuandika maneno yako ya utafutaji.
Katika Chrome,
Unaweza pia kuchagua neno la kutafuta kutoka kwenye matokeo yanayopendekezwa.
Ikiwa una wasiwasi kuhusu gharama ya matumizi yako ya data, simu yako itakusaidia kuzuia baadhi ya programu dhidi ya kutuma au kupokea data wakati zinaendeshwa chini chini.
Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.
Start chatPrefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.
Find a care center near you