Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 225 4G

Skip to main content
All Devices

Nokia 225 4G

Majina

Ongeza jina

  1. Chagua Menyu > >
    • Mwasiliani mpya
    .
  2. Andika jina, na ucharaze nambari.
  3. Chagua keyboard_backspace > Sawa.

Ili kuongeza waasiliani zaidi, chagua > Ongeza mwasiliani mpya.

Hifadhi mwasiliani kutoka kwenye rekodi ya simu

  1. Chagua Menyu > .
  2. Tembeza kwa nambari unataka kuhifadhi, chagua > Ongeza kwa Waasiliani > Mwasiliani mpya.
  3. Ongeza jina la mwasiliani, kagua kwamba nambari ya simu ni sahihi, na uchague keyboard_backspace > Sawa.

Pigia simu mwasiliani

Unaweza kupigia simu mwasiliani moja kwa moja kutoka kwenye orodha ya waasiliani.

Chagua Menyu > , tembeza kwa mwasiliani unataka kupigia simu, na ubonyeze kitufe cha kupiga simu.
Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe
Simu, majina, na ujumbe
  • Simu
  • Majina
  • Tuma ujumbe

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you