Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 2660 Flip

Skip to main content
All Devices

Nokia 2660 Flip

Ufikiaji

Badilisha mwonekano wa menyu

Ili kuchagua jinsi menyu ya programu inavyoonyeshwa kwenye skrini, chagua Menyu > Mipangilio > Mfumo > Mwonekano mkuu wa menyu kisha uchague 3x3 ili kuona programu 9 katika menyu kwa wakati mmoja au 1x1 kuona programu 1 kwa wakati. Ukichagua 1x1, telezesha juu au chini ili kuvinjari kati ya programu.

Ongeza maelezo yako ya ICE

Ili kuweza kupiga simu za DHARURA, unahitaji kuongeza maelezo yako ya DHARURA (Katika Hali ya Dharura).

  1. Ongeza maelezo yako binafsi: chagua Menyu > Mipangilio > Kifaa > taarifa ya ICE > Taarifa ya msingi na Taarifa muhimu.
  2. Chagua waasiliani ambao wanapigiwa simu ya DHARURA: chagua Menyu > Mipangilio > Kifaa > SOS > Wawasiliani wa ICE, kisha uchague wawasiliani wa ICE kutoka kwenye orodha yako ya wawasiliani. Kumbuka kwamba huwezi kutumia nambari rasmi za dharura kama majina yako ya ICE.
  3. Kabla ya kupiga simu za SOS, unahitaji kuziwezesha. Chagua Menyu > Mipangilio > Kifaa > SOS > Mipangilio ya SOS, kisha uwashe simu ya SOS.

Piga simu ya SOS

Bonyeza na ushikilie kitufe cha simu ya SOS kwa sekunde chache. Simu inampigia mwasiliani wako wa kwanza wa ICE. Mwasiliani asipojibu ndani ya sekunde 25, simu itapiga simu kwa mwasiliani anayefuata, na itaendelea kupigia wawasiliani wako hadi mmoja wao ajibu simu, au ubonyeze . Kumbuka: Wakati simu ya SOS imejibiwa, simu inaenda katika hali isiyotumia mikono. Usiweke simu karibu na sikio lako, kwani sauti inaweza kuwa kubwa sana.

Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe
Binafsisha simu yako
  • Badilisha toni
  • Badilisha mwonekano wa skrini yako ya mwanzo
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you