Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Zana za ziada

Kipima saa

Ikiwa unahitaji kengele lakini hutaki kuunda moja kwenye saa ya kengele, tumia kipima saa. Kwa mfano, unaweza kupima saa ya chakula kinachopikwa jikoni.

  1. Chagua Menyu > Zana za Ziada > Kipima saa.
  2. Tumia vitufe vya kutembeza ili uweke saa na uandike jina la kipima saa hicho.
  3. Chagua Anza.

Baada ya kuweka saa kwenye kipima saa, rejea kwenye Menyu > Zana za Ziada, tembeza kwenye Kipima saa na ubonyeze kitufe cha kutambaza ili uhariri au kuondoa kipima saa.

Saa ya michezo

  1. Chagua Menyu > Zana za Ziada > saa ya michezo.
  2. Chagua Anza.
  3. Bonyeza wakati, kwa mfano, mzunguko unapokamilika.

Ili kukomesha, chagua Komesha na ubonyeze .

Kigeuzaji

  1. Chagua Menyu > Zana za Ziada > Kigeuzaji.
  2. Chagua unachotaka kugeuza na jinsi unavyotaka kuigeuza.
  3. Tumia vitufe vya nambari ili kuandika vipimo vyote. Kigeuzaji hugeuza vipimo kiotomatiki.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Zana
  • Zana za ziada
  • Tochi
  • Vihesabio

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you