Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Mipangilio ya mfumo

Mipangilio inayopatikana ya mfumo

Chagua Menyu > > Mfumo.

Kwa mfano, katika mipangilio ya mfumo, unaweza kuhariri:

  • Mipangilio ya simu, ikiwa ni pamoja na kusambaza simu, nambari ya ujumbe wa sauti, na mipangilio ya gharama.
  • Mipangilio ya Ujumbe, ikiwa ni pamoja na kama utatuma ripoti za uwasilishaji ujumbe na kama utapokea ujumbe wa midianuwai wakati unaranda
  • Mipangilio ya Tochi, ikiwa ni pamoja na mwangaza na muda kuisha wa taa yako ya kibeba vitufe
  • Mipangilio ya Taarifa, ikiwa ni pamoja na taarifa ili kuona katika hali yako ya kusubiri

Weka upya simu yako

Ajali zinaweza kutokea na simu yako inaweza kuacha kufanya kazi. Unaweza kurejesha mipangilio halisi ya kiwandani, lakini kuwa makini, kwa kuwa uwekaji huu upya huondoa data yote uliyohifadhi kwenye kumbukumbu ya simu na ubinafsishaji wako wote.

Kama unatuma simu yako, kumbuka kwamba unawajibika kuondoa maudhui yote ya kibinafsi.

Huenda ukahitaji kuwa na msimbo wa usalama ili urejeshe mipangilio halisi. Ili kuweka upya simu yako kwa mipangilio yake halisi na kuondoa data yako yote, kwenye skrini ya mwanzo, andika *#7370#.

  1. Chagua Menyu > > Mfumo > Kuhusu > Rejesha mipangilio ya kiwandani.
  2. Hakuna udhibitishaji zaidi baada ya kuchagua Sawa, lakini simu huwekwa upya na data yote huondolewa.
  3. Simu huwaka tena.

Tuma maoni

Unaweza kutuma maoni kwenye simu yako moja kwa moja kutoka kwenye Mipangilio.
  1. Chagua Menyu > > Mfumo > Kuhusu > Tuma maoni.
  2. toa maoni ya maswali kama ilivyoagizwa, na uchague Tuma.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Mipangilio
  • Mipangilio ya mfumo
  • Mipangilio ya uunganikaji
  • Mipangilio ya ubinafsishaji
  • Mipangilio ya saa na lugha
  • mipangilio ya usalama

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you