Kuandika kwa kutumia vitufe ni rahisi.
Bonyeza kitufe kwa kurudia hadi herufi ionyeshwe.
Ili kucharaza katika nafasi bonyeza
Ili kuandika herufi maalum au alama ya kituo, bonyeza
Ili kubadilisha kati ya vibambo, bonyeza
Ili kuandika nambari, bonyeza na ushikilie kitufe cha nambari.
Ili kuharakisha uandishi wako, simu yako inaweza kukisia unachoanza kuandika. Matini ya kubashiri hutegemea kamusi iliyoundiwa ndani. Kipengele hiki hakipatikani kwa lugha zote.
Ili uwashe kamusi, chagua
Ili kubadilisha kati ya matini ya kubashiri na ya kawaida, bonyeza
Ili kuzima kamusi, chagua
Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.
Start chatPrefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.
Find a care center near you