Nokia 3 V user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia 3 V

Barua

Unaweza kutumia simu yako kusoma na kujibu barua mahali popote ulipo.

Ongeza akaunti ya barua

Wakati unatumia programu ya Gmail kwa mara ya kwanza, utaulizwa usanidi akaunti yako ya barua pepe.

  1. Gusa Gmail.
  2. Unaweza kuchagua anwani iliyounganishwa na akaunti yako ya Google au gusa Ongeza anwani ya barua pepe.
  3. Baada ya kuongeza akaunti zote, gusa NIPELEKE KWA GMAIL.

Tuma barua

  1. Gusa Gmail.
  2. Gusa create.
  3. Katika kisanduku cha Kwa, charaza anwani, au gusa more_vert > Ongeza kutoka kwenye Anwani.
  4. Charaza mada ya ujumbe na barua.
  5. Gusa send.

Soma na jibu barua

  1. Gusa Gmail.
  2. Gusa ujumbe unaotaka kusoma.
  3. Ili kujibu ujumbe, gusa reply, au gusa more_vert > Jibu zote.

Futa barua

  1. Gusa Gmail.
  2. Gusa ujumbe unaotaka kufuta na kugusa delete.
  3. Ili kufuta ujumbe anuwai, gusa mviringo wenye herufi za wapokeaji ili kuchagua ujumbe na uguse delete.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Keys and parts
  • Insert the SIM and memory cards
  • Charge your phone
  • Washa na usanidi simu yako
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Unganika na marafiki na familia yako
  • Calls
  • Anwani
  • Tuma na upokee ujumbe
  • Barua
  • Tangamana na watu

Useful Links

Download PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you