Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 5710 XpressAudio

Skip to main content
All Devices

Nokia 5710 XpressAudio

Vitufe na sehemu

Simu yako

Simu yako

Mwongozo huu wa mtumiaji unatumika kwa modeli zifuatazo: TA-1504, TA-1488, TA-1498, TA-1482, TA-1496.

  1. Kifuniko cha chumba cha vifaa vya masikioni
  2. Kipaza sauti
  3. Kamera
  4. Mweko
  5. Kipaza sauti
  6. Kiunganishi cha USB
  7. Kitufe cha kupiga simu
  8. Kitufe cha uchaguzi cha kushoto
  9. Kitufe cha kupunguza sauti/Kufifiza kamera
  10. Kitufe cha kuongeza sauti/Kukuza kamera
  11. Kifaa cha masikio
  12. Kitufe cha kupeleka mbele (muziki, redio, video)
  13. Kitufe cha Kucheza/Kusitisha/Kukomesha (muziki, redio, video)
  14. Kitufe cha kurudisha nyuma (muziki, redio, video)
  15. Kitufe cha uchaguzi cha kulia
  16. Kitufe cha Nishati/Kukata simu
  17. Kitufe cha kutembeza

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au kifaa chochote cha kichwa kando na zile zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti. Sehemu nyingine za kifaa hiki zina sumaku. Vitu vya chuma vinaweza kuvutwa na kifaa. Usiweke kadi za karadha au vitu vingine vyenye kutumia hifadhi ya sumaku karibu na kifaa hiki, kwa sababu maelezo yaliyohifadhiwa kwenye vitu hivyo yanaweza kufutika.

Baadhi ya vifaa vya ziada vilivyotajwa katika mwongozo huu wa mtumiaji, kama vile chaja, kifaa cha kichwani, au kebo ya data, huenda vikauzwa kando.

Vifaa vya masikioni

Vifaa vya masikioni
  1. Swichi ya mguso
  2. Ncha ya sikio
  3. Viunganisho vya chaja
  4. Maikrofoni

Ili kununua vifaa vya masikioni, unaweza kuwasiliana na muuzaji wako au Kituo cha Huduma za Simu za Nokia, tafadhali pata kituo kilicho karibu nawe hapa: https://www.hmd.com/en_in/support/care-center-locator.

Dokezo: Unweza kuweka simu yako kuulizia msimbo wa usalama ili kulinda faragha na data yako ya kibinafsi. Msimbo wa kuweka mapema ni 12345. Ili kubadilisha msimbo, chagua Menyu > Mipangilio > Usalama > Kilinzi cha vitufe > Msimbo wa usalama, ingiza msimbo mpya, uthibitishe, kisha uchague SAWA. Hata hivyo kumbuka, kwamba unahitaji kukumbuka msimbo, kwa kuwa HMD Global haiwezi kuufungua au kuuruka.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe
  • Tumia vifaa vya masikioni

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you