Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6

Skip to main content
All Devices

Nokia 6

Dhibiti sauti

Badilisha sauti

Ikiwa una tatizo la kusikia simu yako ikiita katika mazingira yenye kelele, au simu ina sauti ya juu, unaweza kubadilisha sauti kama upendavyo kwa kutumia vitufe vya sauti upande wa simu yako.

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au vifaa vyovyote vya sauti kando na vile vilivyoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti.

Badilisha sauti ya midia na programu

Bonyeza kitufe cha sauti upande wa simu yako ili uone upau wa hali ya sauti, gusa keyboard_arrow_down, na ukokote kitelezi kwenye upau wa sauti kwa midia na programu kushoto au kulia.

Weka simu kimya

Bonyeza kitufe cha sauti kwenye upande wa simu yako, na uguse notifications ili kuifanya iwe kimya.

Dokezo: Hutaki kuweka simu yako katika hali kimya, lakini huwezi kujibu sasa hivi? Ili kunyamazisha simu inayoingia, bonyeza kitufe cha kupunguza sauti. Unaweza kuweka simu yako kunyamazisha mlio wa simu ukiichukua: Gusa Mipangilio > Mwendo > Nyamazisha ikichukuliwa.

Kama unataka kuweza kukataa simu kwa haraka, wezesha Mwendo. gusa Mipangilio > Mwendo > Pindua ili ukatae simu. Wakati kuna simu inayoingia, pindua simu ili ukatae simu.

Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Fungua na ufunge programu
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Picha za skrini
  • Maisha ya betri
  • Okoa gharama ya utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida
  • Andika maandishi
  • Tarehe na saa
  • Saa na kengele
  • Kikokotoo
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you