Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 6

Skip to main content
All Devices

Nokia 6

Redio ya FM

Sikiliza redio ya FM

Furahia idhaa zako uzipendazo za redio ya FM unapotembea.

  1. Kusikiliza redio, unahitaji kuunganisha vifaa vinavyotangamana vya sauti kwenye simu. Vifaa vya sauti hufanya kazi kama antena.1
  2. Baada ya kuunganisha vifaa vya sauti, gusa Redio ya FM.
  3. Kuwasha au kuzima Redio ya FM, gusa WASHA au ZIMA.
Kidokezo cha utatuzi: Ikiwa redio haifanyi kazi, hakikisha kifaa cha kichwa kimeunganishwa vizuri.

Nenda kwenye kituo kinachofuata kilichohifadhiwa awali

Gusa fast_forward au fast_rewind.

Hifadhi idhaa ya redio

Ungependa kusikiliza kituo cha redio baadaye? Hifadhi kituo.

Ili kuhifadhi kituo ambacho unasikiliza, gusa star_border.

Angalia orodha ya vituo vyako vilivyohifadhiwa

Gusa keyboard_arrow_down > Orodha ya Vipendwa.

Ondoa kituo kwenye vipendwa

Gusa star_border wakati unasikiliza kituo.
Kidokezo: Ili usikilize kituo cha redio kwa kutumia spika za simu, gusa more_vertWasha spika. Hakikisha kifaa cha sauti kimeunganishwa.
Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Muziki na video
  • Muziki
  • Video
  • Redio ya FM

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you