Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 7.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 7.2

Misingi ya kamera

Je, kwa nini ubebe kamera ya kando kama simu yako ina kila kitu unachohitaji ili kunasa kumbukumbu? Kwa kutumia kamera ya simu yako, unaweza kupiga picha au kurekodi video kwa urahisi.

Piga picha

Piga picha nzuri na maridadi – nasa nyakati bora katika albamu ya picha yako.

  1. Gusa Kamera.
  2. Lenga unachotaka kupiga picha.
  3. Gusa panorama_fish_eye.

Jipige picha

Unahitaji kujipiga picha nzuri? Tumia kamera ya mbele ya simu ili kupiga picha hiyo.

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa kubadilisha kwa kamera ya mbele.
  3. Lenga unachotaka kupiga picha.
  4. Gusa panorama_fish_eye.

Piga picha ya bothie

Kwa kuongezea picha binafsi kamili, unaweza kupiga picha iliyogawanywa skrini kwa kutumia kamera ya simu yako. Tumia kamera zote za mbele na nyuma kwa wakati mmoja.

  1. Gusa Kamera > na uguse .
  2. Gusa Mbili kwa picha iliyogawanywa skrini. Au, kupiga picha ndani ya picha, gusa .
  3. Lenga unachotaka kupiga picha.
  4. Gusa panorama_fish_eye.
  5. Ili kurudi kwenye hali ya skrini nzima, gusa Moja.
Dokezo: Unapopiga picha ndani ya picha au kurekodi video ya picha ndani ya picha, na unataka kusogeza picha ndogo, gusa na uishikilie na uikokote mahali unapotaka.

Piga picha za panorama

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa > Panorama.
  3. Gusa panorama_fish_eye na ufuate maagizo kwenye simu yako.

Tumia Lenzi ya Google

Kwa Lenzi ya Google, unaweza kutumia kitafuta lengo cha kamera yako kwa mfano kutambua vitu, kunakili maandishi, kuchanganua misimbo, na kutafuta idhaa sawa.

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa > .
  3. Elekeza kamera yako kwa kitu unachotaka kutambua, na ufuate maelezo kwenye skrini.
Dokezo: Unaweza tumia Lenzi ya Google kwa picha ambazo tayari umepiga. Gusa Picha, gusa picha, na uguse .
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you