Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 8

Skip to main content
All Devices

Nokia 8

Huduma za mtandao na gharama

Kutumia baadhi ya vipengele na huduma, au kupakia maudhui, pamoja na vipengee visivyolipishwa, uhitaji muunganisho wa mtandao. Hii huenda ikasababisha uhamishaji wa viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya data. Huenda pia ukahitajika kujisajili kwa baadhi ya vipengele.

Muhimu: Huenda 4G/LTE isikubaliwe na mtoa huduma wa mtandao wako au na mtoa huduma unayemtumia wakati unasafiri. Katika hali hizi, huenda usiweze kupiga au kupokea simu, kutuma au kupokea ujumbe au kutumia miunganisho ya data ya simu. Ili kuhakikisha kifaa chako kinafanya kazi vizuri wakati huduma ya 4G/LTE haipatikani, inapendekezwa kwamba ubadilishe kasi ya juu zaidi ya muunganisho kutoka 4G hadi 3G. Ili kufanya hivi, kwenye skrini ya mwanzo, gusa Mipangilio > Zaidi > Mitandao ya simu za mkononi, na ubadilishe Aina ya mtandao unaopendelewa kwa 2G/3G.

_Kumbuka:_Kutumia Wi-Fi huenda kumezuiwa katika nchi zingine. Kwa mfano, katika Ulaya, unaruhusiwa tu kutumia 5150-5350 MHz Wi-Fi ukiwa ndani tu, na nchini Marekani na Kanada, unaruhusiwa kutumia 5.15-5.25 GHz Wi-Fi ukiwa ndani tu. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na utawala wa eneo lako.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao.

Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Maelezo ya bidhaa na usalama
  • Kwa usalama wako
  • Huduma za mtandao na gharama
  • Simu za dharura
  • Kuhudumia kifaa chako
  • Uchakataji upya
  • Alama ya pipa iliyo na mkato
  • Maelezo ya betri na chaja
  • Watoto wadogo
  • Vifaa vya matibabu
  • Vifaa vya matibabu vinavyopachikwa
  • Vifaa vya kusaidia kusikia
  • Linda mtoto wako dhidi ya vitu vyenye madhara
  • Magari
  • Mazingira yanayoweza kulipuka
  • Habari ya utoaji cheti (SAR)
  • Kuhusu Usimamizi wa haki za Dijitali
  • Hakimiliki na ilani

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you