Kuwa katika hali sawa na mdundo - sasisha programu ya simu yako pasi waya ili upate vipengee vipya na vilivyoboreshwa vya simu yako. Kusasisha programu kunaweza pia kuboresha utendakazi wa simu yako.
Gusa
Wakati simu yako inapokuarifu kwamba sasisho linapatikana, fuata maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu yako.
Onyo: ukisakinisha kisasisho cha programu, huwezi kutumia kifaa hicho, hata kupiga simu za dharura, mpaka usasishaji ukamilike na kifaa kiwashwe upya.
Kabla ya kuanza kusasisha, unganisha chaja ua hakikisha betri ya kifaa ina nishati ya kutosha, na unganishe kwenye Wi-Fi, kwa kuwa vifurushi vya kusasisha vinaweza kutumia data nyingi ya simu.
Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.
Start chatPrefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.
Find a care center near you