Nokia G100 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia G100

Usahihishaji matini kiotomatiki

Tumia mapendekezo ya neno la kibodi

Simu yako hupendekeza maneno unapokuwa ukiandika, ili kukusaidia kuandika kwa haraka na kwa usahihi zaidi. Mapendekezo ya maneno yanaweza kutopatikana katika lugha zote.

Wakati unapoanza kuandika neno, simu yako itapendekeza maneno yanayowezekana. Neno unalotaka likionyeshwa kwenye upau wa mapendekezo, chagua neno. Ili kuona mapendekezo zaidi, gusa na ushikilie pendekezo.

Dokezo: Ikiwa neno lililopendekezwa limewekwa alama ya koza, simu huitumia kiotomatiki ili kubadilisha neno uliloandika. Ikiwa neno si sahihi, gusa na ushikilie ili kuona mapendekezo mengine machache.

Ikiwa hutaki kibodi kupendekeza maneno unapokuwa ukicharaza, zima sahihisho za matini. Gusa Mipangilio > Mfumo > Lugha na ingizo > Kibodi kwenye skrini. Teua kibodi unayotumia kwa kawaida. Gusa Usahihishaji matini na uzime mbinu za kusahihisha matini ambayo hutaki kutumia.

Sahihisha neno

Ukigundua ya kwamba umekosea tahajia ya neno, gusa ili kuona mapendekezo ya kusahihisha neno.

Zima kikagua tahajia

Gusa Mipangilio > Mfumo > Lugha na ingizo > Kikagua tahajia, na uzime Tumia kikagua tahajia.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Keys and parts
  • Insert the SIM and memory cards
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Personalize your phone
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Battery life
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you