Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia G42 5G

Skip to main content
All Devices

Nokia G42 5G

Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu

Ingiza kadi

Ingiza kadi
  1. Fungua trei ya SIM na kadi ya kumbukumbu: sukuma pini ya kufungua trei ndani ya shimo la trei na uondoe trei.
  2. Weka kadi ya nano-SIM kwenye kipenyo cha SIM kwenye trei na eneo la mguso likiangalia chini.
  3. Ikiwa una kadi ya kumbukumbu, ingiza kwenye kipenyo cha kadi ya kumbukumbu.
  4. Telezesha trei ndani.

Tumia kadi halisi ya nano-SIM tu. Matumizi ya SIM kadi zisizotangamana huenda yakaharibu kadi au kifaa, na huenda yakaharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Tumia tu kadi za kumbukumbu zinazotangamana zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki. Kadi zisizotangamana zinaweza kuharibu kadi na kifaa na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Ingiza kadi ikiwa una simu ya SIM mbili

Ingiza kadi ikiwa una simu ya SIM mbili

Weka SIM kadi ya nano kwenye kipenyo 1 na aidha SIM ya pili au kadi ya kumbukumbu kwenye kipenyo 2 kwenye trei eneo la mguso likiangalia chini.

SIM kadi zote zinapatikana kwa wakati mmoja wakati kifaa hakitumiki, lakini ijapokuwa SIM kadi moja inatumika, kwa mfano, kwa kupiga simu, ile nyingine haipatikani.

Dokezo: Ili kujua kama simu yako inaweza kutumia SIM kadi 2, angalia lebo kwenye furushi la mauzo. Ikiwa kuna misimbo 2 ya IMEI kwenye lebo, una simu ya SIM mbili.

Muhimu: Usiondoe kadi ya kumbukumbu wakati programu inaitumia. Kufanya hivyo kunaweza kuharibu kadi ya kumbukumbu na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Kidokezo: Tumia kadi ya kumbukumbu ya microSD yenye kasi, na ya hadi TB 1 kutoka kwa mtengenezaji anayefahamika.
Kumbuka: Programu zilizosakinishwa mapema za mfumo hutumia sehemu kubwa ya nafasi ya kumbukumbu.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you