Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia G50

Skip to main content
All Devices

Nokia G50

Arifa

Tumia paneli ya taarifa

Unapopokea arifa mpya, kama vile ujumbe au simu zisizojibiwa, aikoni huonekana juu ya skrini.

Ili kuona maelezo zaidi kuhusu arifa, telezesha chini kuanzia juu ya skrini. Ili kufunga mwonekano, pitisha juu kwenye skrini.

Ili kubadilisha mipangilio ya taarifa ya programu, gusa Mipangilio > Programu na taarifa, gusa jina la programu na Arifa.

Arifa za ujumbe

Unaweza kuyapatia kipaumbele mazungumzo yako muhimu sana. Unapopokea arifa kuhusu ujumbe mpya, telezesha chini kuanzia juu ya skrini. Gusa na ushikilie ujumbe na uguse Kipaumbele > Tekeleza. Mazungumzo hukaa juu ya orodha ya mazungumzo, na skrini ya kufuli huonyesha iwapo kuna jumbe mpya katika mazungumzo yaliyopatiwa kipaumbele.

Tumia ikoni za mpangilio wa haraka

Tumia ikoni za mpangilio wa haraka

Ili kuamilisha vipengele, gusa ikoni za mipangilio ya haraka kwenye paneli ya arifa. Ili kuona ikoni zaidi, kokoa menyu chini.

Ili kupanga upya ikoni, gusa mode_edit, gusa na ushikilie ikoni, na uikokote kwenye eneo lingine.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Kisaidizi cha Google
  • Maisha ya betri
  • Ufikiaji
  • Redio ya FM

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you