Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia G60 5G

Skip to main content
All Devices

Nokia G60 5G

Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu

Ingiza kadi

Ingiza kadi
  1. Fungua trei ya SIM kadi: sukuma pini ya kufungua trei ndani ya shimo la trei na uondoe trei.
  2. Ikiwa una simu ya SIM moja, weka kadi ya nano-SIM kwenye kipenyo 1 na kadi ya kumbukumbu kwenye kipenyo 2 kwenye trei eneo la mguso likiangalia chini. Ikiwa una simu ya SIM mbili, weka SIM kadi ya nano kwenye kipenyo 1 na aidha SIM ya pili au kadi ya kumbukumbu kwenye kipenyo 2 kwenye trei eneo la mguso likiangalia chini.
  3. Telezesha trei ndani.

Ikiwa una eSIM kadi badala ya SIM kadi halisi, washa simu yako na ufuate maagizo kwenye simu. Kuweza kuamilisha eSIM yako, unahitaji muunganisho wa Wi-Fi. Kumbuka kwamba ikiwa una simu ya SIM-moja, unaweza kuwa na SIM kadi moja tu, ya halisi au eSIM, inayotumika kwa wakati mmmoja. Kumbuka kwamba ikiwa una simu ya SIM-mbili, unaweza kuwa na SIM kadi mbili halisi au SIM halisi na eSIM inayotumika kwa wakati mmmoja. Kwa maelezo zaidi kuhusu eSIM kadi, wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao.

Ikiwa una eSIM kadi

Ikiwa una eSIM kadi badala ya SIM kadi halisi, washa simu yako na ufuate maagizo kwenye simu. Kuweza kuamilisha eSIM yako, unahitaji muunganisho wa Wi-Fi. Ili kununua eSIM kadi, wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao. Kumbuka kwamba ikiwa una simu ya SIM-moja, unaweza kuwa na SIM kadi moja tu, ya halisi au eSIM, inayotumika kwa wakati mmmoja. Kumbuka kwamba ikiwa una simu ya SIM-mbili, unaweza kuwa na SIM kadi mbili halisi au SIM halisi na eSIM inayotumika kwa wakati mmmoja. Kwa maelezo zaidi kuhusu eSIM kadi, wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao.

Dokezo: Ili kujua kama simu yako inaweza kutumia SIM kadi 2, angalia lebo kwenye furushi la mauzo. Ikiwa kuna misimbo 2 ya IMEI kwenye lebo, una simu ya SIM mbili.

Muhimu: Usiondoe kadi ya kumbukumbu wakati programu inaitumia. Kufanya hivyo kunaweza kuharibu kadi ya kumbukumbu na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Kidokezo: Tumia kadi ya kumbukumbu ya microSD yenye kasi, na ya hadi TB 1 kutoka kwa mtengenezaji anayefahamika.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you