Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Tafuta maeneo na upate maelekezo

Pata mahali

Ramani za Google hukusaidia kupata maeneo na biashara mahsusi.
  1. Gusa Ramani.
  2. Andika maneno ya kutafuta, kama vile anwani ya mtaa au jina la mahali, katika upau wa utafutaji.
  3. Chagua kipengee kwenye orodha ya matokeo yanayopendekezwa unapokuwa ukiandika, au gusa searchili kutafuta.

Eneo huonyeshwa kwenye ramani. Ikiwa hakuna matokeo ya utafutaji yatakayopatikana, hakikisha tahajia ya maneno yako ya utafutaji ni sahihi.

Angalia eneo lako la sasa

Gusa Ramani > my_location.

Pata maelekezo ya mahali

Pata maelezo ya kutembea, kuendesha gari, au kutumia usafiri wa umma - tumia eneo lako la sasa au eneo lingine kama mahali pa kuanzia.

  1. Gusa Ramani na uingize unakoenda katika upau wa utafutaji.
  2. Gusa Maelekezo. Ikoni iliyoangaziwa huonyesha hali ya usafiri, kwa mfano directions_car. Ili kubadilisha modi hii, chagua modi mpya chini ya upau wa utafutaji.
  3. Kama hutaki mahali pa kuanza kuwa eneo lako la sasa, gusa Eneo lako, na utafute mahali pengine pa kuanza.
  4. Gusa ANZAili kuanza urambazaji.

Njia huonyeshwa kwenye ramani, pamoja na makadirio ya muda unaochukua kufika hapo. Ili kuona maelekezo tondoti, pitisha juu kuanzia chini ya skrini.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Ramani
  • Tafuta maeneo na upate maelekezo
  • Pakua na usasishe ramani
  • Tumia huduma za eneo

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you