Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Linda simu yako kwa kutumia alama ya kidole chako

Unaweza kufungua simu yako kwa kugusa na kidole chako. Sanidi ID ya alama yako ya kidole kwa usalama wa ziada.

Ongeza alama ya kidole

  1. Gusa Mipangilio > Usalama na Eneo > Alama ya kidole. Kama hujasanidi kufuli ya skrini kwenye simu yako, gusa Sanidi funga skrini.
  2. Chagua ni mbinu gani ya hifadhi nakala ya kufungua unayotaka kutumia kwenye skrini ya kufunga na ufuate maagizo yaliyoonyeshwa kwenye simu yako.

Fungua simu yako kwa kutumia kidole chako

Weka kidole chako kilichosajiliwa kwenye sensa.

Ikiwa kuna hitilafu ya sensa ya alama ya kidole, na huwezi kutumia mbinu mbadala za kuingia ili kurejesha au kuweka upya simu kwa njia yoyote ile, simu yako itahitaji huduma kutoka kwa mtu aliyeidhinishwa. Huenda gharama ya ziada ikatumika, na data yote ya kibinafsi kwenye simu huenda ikafutwa. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na care point iliyo karibu ya simu yako, au muuzaji wa simu yako.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Linda simu yako
  • Linda simu yako kwa kutumia alama ya kidole chako
  • Badilisha msimbo wako wa PIN ya SIM
  • Misimbo ya ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you