Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu

Ikiwa kuna kadi ya kumbukumbu kwenye simu yako, na kumbukumbu ya simu inajaa, hifadhi picha na video ulizorekodi kwenye kadi ya kumbukumbu.

Dokezo: Kwa video ya ubora wa juu, rekodi video kwenye kumbukumbu ya simu yako. Ukirekodi video kwenye kadi ya kumbukumbu, inapendekezwa kwamba kadi ya microSD unayotumia iwe kadi ya 4–128GB kutoka kwa mtengenezaji anayejulikana vizuri.

Badilisha eneo la picha na video zilizohifadhiwa

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa menu > Mipangilio > Hifadhi ya data.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Have fun with the camera
  • Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you