Nokia X71 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia X71

Picha na video zako

Tazama picha na video kwenye simu yako

Je, unataka kukumbuka nyakati hizo muhimu? Tazama picha na video kwenye simu yako.

Gusa Picha.

Cheza video

Gusa Picha na gusa video unayotaka kucheza.
Dokezo: Ili kusitisha kucheza, gusa pause. Ili kuendelea, gusa play_arrow.

Peleka video mbele au nyuma kwa haraka

Ili kupelea video mbele au nyuma kwa haraka, kokota kitelezi chini ya skrini kulia au kushoto.

Nakili picha na video zako kwenye kompyuta yako

Ungependa kutazama picha na video zako kwenye skrini kubwa? Zisogeze kwenye kompyuta yako.

Unaweza kutumia kidhibiti faili cha kompyuta yako kunakili au kusogeza picha na video zako kwenye kompyuta.

Unganisha simu yako kwenye kompyuta na kebo ya USB inayotangamana. Ili kuweka aina ya muunganisho wa USB, fungua paneli ya taarifa, na uguse taarifa ya USB.

Shiriki picha na video zako

Unaweza kushiriki picha na video zako kwa haraka na kwa urahisi ili marafiki na familia yako wazione.

  1. Katika Picha, gusa picha unayotaka kushiriki na uguse share.
  2. Chagua jinsi unavyotaka kushiriki picha au video.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Dual SIM settings
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Have fun with the camera
  • Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you