Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 2.3

Skip to main content
All Devices

Nokia 2.3

Pakua na usasishe ramani

Pakua ramani

Hifadhi ramani mpya kwenye simu yako kabla ya safari, ili uweze kuvinjari ramani bila muunganisho wa intaneti wakati unasafiri.

  1. Gusa Ramani > menu > Ramani za nje ya mtandao > CHAGUA RAMANI YAKO MWENYEWE.
  2. Chagua eneo kwenye ramani na uguse PAKUA.

Sasisha ramani iliyopo

  1. Gusa Ramani > menu > Ramani za nje ya mtandao na jina la ramani.
  2. Gusa SASISHA.
Ikiwa ikoni menu haipatikani, gusa ikoni ya akaunti ya mtumiaji ya Google au picha yako ya akaunti ya mtumiaji ya Google.
Dokezo: Pia unaweza kuweka simu yako kusasisha ramani kiotomatiki. Gusa Ramani > menu > Ramani za nje ya mtandao > settings na ubadilishe Sasisha ramani za nje ya mtandao kiotomatiki na Pakua ramani za nje ya mtandao kiotomatiki kwa Washa.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Ramani
  • Tafuta maeneo na upate maelekezo
  • Pakua na usasishe ramani
  • Tumia huduma za eneo

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you