Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 2.3

Skip to main content
All Devices

Nokia 2.3

Vifaa vya matibabu vinavyopachikwa

Kuepuka mwingiliano unaowezekana, watengenezaji wa vifaa vilivyopachikwa vya matibabu (kama vile vipima mapigo ya moyo, pampu za insulini, na yurostimuleta wanapendekeza nafasi isiyopungua sentimita 15.3 (inchi 6) kati ya kifaa kisichotumia waya na kifaa cha matibabu. Watu ambao wana vifaa kama hivyo wanapaswa:

  • Kila wakati weka kifaa pasiwaya umbali wa zaidi ya sentimita 15.3 (inchi 6) kutoka kwenye kifaa cha matibabu.
  • Usibebe kifaa pasiwaya katika mfuko wa shati.
  • Shikilia kifaa pasiwaya kwenye sikio kando na kifaa cha matibabu.
  • Zima kifaa pasiwaya kama kuna sababu yoyote ya kushuku kwamba mwingiliano unafanyika.
  • Fuata maagizo ya mtengeneza kifaa cha matibabu kilichopachikwa.

Ikiwa una maswali yoyote kuhusu kutumia kifaa chako pasiwaya na kifaa cha matibabu kilichopachikwa, wasiliana na mtoa huduma wako wa afya.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Maelezo ya bidhaa na usalama
  • Kwa usalama wako
  • Huduma za mtandao na gharama
  • Simu za dharura
  • Kuhudumia kifaa chako
  • Uchakataji upya
  • Alama ya pipa iliyo na mkato
  • Maelezo ya betri na chaja
  • Watoto wadogo
  • Vifaa vya matibabu
  • Vifaa vya matibabu vinavyopachikwa
  • Vifaa vya kusaidia kusikia
  • Linda mtoto wako dhidi ya vitu vyenye madhara
  • Magari
  • Mazingira yanayoweza kulipuka
  • Habari ya utoaji cheti
  • Kuhusu Usimamizi wa haki za Dijitali
  • Hakimiliki na ilani nyingine

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you