Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 5.4

Skip to main content
All Devices

Nokia 5.4

Redio ya FM

Kusikiliza redio, unahitaji kuunganisha vifaa vinavyotangamana vya sauti kwenye simu. Vifaa vya sauti hufanya kazi kama antena. Kifaa cha kichwa kinaweza kuuzwa kando.

Sikiliza redio ya FM

Baada ya kuunganisha vifaa vya sauti, gusa Redio ya FM.

  • Kuwasha redio, gusa play_arrow.
  • Kupata vituo vya redio, gusa more_vert > Changanua.
  • Kubadilisha kwenye kituo kingine, telezesha mstari wa mawimbi ya idhaa upande wa kushoto au kulia.
  • Kuhifadhi kituo, gusa .
  • Kusikiliza kituo cha redio ukitumia spika za simu, gusa . Hakikisha kifaa cha sauti kimeunganishwa.
  • Kuzima redio, gusa
Kidokezo cha utatuzi: Ikiwa redio haifanyi kazi, hakikisha kifaa cha kichwa kimeunganishwa vizuri.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Kisaidizi cha Google
  • Maisha ya betri
  • Ufikiaji
  • Redio ya FM

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you