Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 9 PureView

Skip to main content
All Devices

Nokia 9 PureView

Tumia kamera yako kama mtaalamu

Tumia hali tofauti katika kamera yako ili kuboresha ubora wa picha zako.

Jifunze kuhusu mipangilio yako ya kamera

Katika programu ya Kamera, gusa menu ili kujifunza mengi kuhusu kila mpangilio.

Tumia hali ya Bokeh

Kama unataka kuweza kubadilisha eneo lengwa la picha yako baada ya kuipiga, tumia hali ya Bokeh wakati unapiga picha.

  1. Gusa Kamera > Bokeh.
  2. Lenga unachotaka kupiga picha, na uguse panorama_fish_eye.
  3. Chagua picha uliyopiga, unaweza kuiona katika kona ya chini kulia.
  4. Gusa > Kihariri cha Bokeh ili kuhariri picha yako.

Weka kamera katika hali Pro

Gusa Kamera > Pro.

Ongeza kina na mtazamo wa picha zako

Ungependa kuunda hisia ya kina na mtazamo katika picha zako?

  1. Gusa Kamera > Pro.
  2. Gusa > .
  3. Lenga unachotaka kupiga picha, na uguse panorama_fish_eye.
  4. Chagua picha uliyopiga, unaweza kuiona katika kona ya chini kulia.
  5. Gusa ili uhariri picha yako.

Piga picha kwa kutumia kipima saa

Unataka kuwa na muda wa kuingia kwenye picha pia? Jaribu kutumia kipima saa.

  1. Gusa Kamera.
  2. Gusa . Kitufe huonyesha mpangilio wa kipima saa. Ili kuibadilisha, iguse tena.
  3. Chagua muda wa kipima saa.
  4. Gusa panorama_fish_eye.

Piga picha zenye ubora wa juu

Katika programu ya Kamera, gusa menu > Mwonekano, na uweke mwonekano ambao unataka.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM kadi
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you