Kutumia baadhi ya vipengele na huduma, au kupakia maudhui, pamoja na vipengee visivyolipishwa, uhitaji muunganisho wa mtandao. Hii huenda ikasababisha uhamishaji wa viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya data. Huenda pia ukahitajika kujisajili kwa baadhi ya vipengele.
_Kumbuka:_Kutumia Wi-Fi huenda kumezuiwa katika nchi zingine. Kwa mfano, katika Ulaya, unaruhusiwa tu kutumia 5150-5350 MHz Wi-Fi ukiwa ndani tu, na nchini Marekani na Kanada, unaruhusiwa kutumia 5.15-5.25 GHz Wi-Fi ukiwa ndani tu. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na utawala wa eneo lako.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao.
Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.
Start chatPrefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.
Find a care center near you