Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 2660 Flip

Skip to main content
All Devices

Nokia 2660 Flip

Vitufe

Tumia vitufe vya simu

  • Ili kuona programu na vipengele vya simu yako, kwenye skrini ya mwanzo, chagua Menyu.
  • Ili kwenda kwenye programu au kipengele, bonyeza kitufe cha kutambaza juu, chini, kushoto, au kulia. Ili kufungua programu au kipengele, bonyeza kitufe cha kutambaza.
  • Kurudi kwa skrini ya mwanzo, bonyeza kitufe cha kukata simu.
  • Ili kubadilisha sauti ya simu yako wakati unaongea kwenye simu au unaposikiliza redio, bonyeza vitufe vya sauti.

Funga kicharazio

Ili kufunga vitufe, funga tundu. Ili kufungua vitufe, bonyeza kitufe cha kutelezesha kisha uchague Fungua > *.

Andika kwa kutumia kitufe

Bonyeza kitufe kwa kurudia hadi herufi ionyeshwe.

Ili kucharaza katika nafasi, bonyeza kitufe cha 0.

Ili kuandika alama maalumu au alama ya kituo, bonyeza kitufe cha kinyota.

Ili kubadilisha kati ya vibambo, bonyeza # kwa kurudiarudia.

Ili kucharaza nambari, bonyeza na ushikilie kitufe cha nambari.

Ili kuondoa kibambo, chagua .

Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you