Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 4.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 4.2

Maisha ya betri

Pata mengi kutoka kwa simu yako ukipata maisha ya betri unayotaka. Kuna hatua unazoweza kuchukua kuokoa nishati kwenye simu yako.

Ongeza maisha ya betri

Kuokoa nishati:

  • Daima chaji betri kikamilifu.
  • Kunyamazisha sauti zisizohitajika, kama vile sauti za kugusa. Gusa Mipangilio > Sauti > Mipangilio ya kina, na katika sehemu ya Sauti na mitetemo mingine, chagua ni sauti gani za kuweka.
  • Tumia vifaa vya masikio, badala ya kipaza sauti.
  • Weka skrini ya simu kuzima baada ya muda mfupi. Gusa Mipangilio > Skrini > Mipangilio ya kina > Lala na uchague muda.
  • Gusa Mipangilio > Onyesho > Hali ya mwangaza. Ili kurekebisha mwangaza, kokota kitelezi cha hali ya mwangaza. Hakikisha kwamba Mwangaza uliorekebishwa umezimwa.
  • Komesha programu kufanya kazi kichinichini: telezesha juu kitufe cha nyumbani na utelezeshe juu programu unayotaka kufunga.
  • Wezesha betri inayofaa. Zuia betri kwa programu ambazo hutumii mara kwa mara. Huenda arifa zikacheleweshwa kwa programu hizi. Gusa Mipangilio > Betri > Betri ya Kurekebisha.
  • Washa kiokoa nishati: gusa Mipangilio > Betri > Kiokoa betri, na uwashe .
  • Tumia huduma za eneo kwa uangalifu: zima huduma za eneo wakati hauzihitaji. Gusa Mipangilio > Usalama na eneo > Eneo, na ulemaze Tumia eneo.
  • Tumia miunganisho ya mtandao kwa uangalifu: washa Bluetooth wakati inahitajika tu. Tumia muunganisho wa Wi-Fi kuunganisha kwenye intaneti, badala ya munganisho wa data ya simu.
  • Komesha simu yako kuchanganua mitandao ya pasiwaya inayopatikana. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti > Wi-Fi, na ulemaze Tumia Wi-Fi.
  • Ikiwa unasikiliza muziki au vinginevyo unatumia simu yako, lakini hutaki kupiga au kupokea simu, washa hali ya ndege. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti > Mipangilio ya kina > Hali ya ndege. Hali ya ndege hufunga miunganisho kwenye mitandao ya simu za mkononi na huzima vipengele pasiwaya vya kifaa chako.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Linda simu yako kwa kufuli ya skrini
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Fungua na ufunge programu
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Kisaidizi cha Google
  • Maisha ya betri
  • Andika maandishi
  • Tarehe na saa
  • Saa na kengele
  • Ufikiaji
  • Redio ya FM

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you