Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 4.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 4.2

Tuma na upokee ujumbe

Wasiliana na marafiki na familia yako wanafamilia kupitia ujumbe wa maandishi.

Tuma ujumbe

  1. Gusa Barua pepe.
  2. Gusa Anza soga.
  3. Kuongeza wapokeaji, gusa dialpad katika sehemu ya Kwa, na uandike nambari yake. Ikiwa mpokeaji yuko katika orodha yako ya anwani, anza kuandika jina lake na kisha uguse jina. Ikiwa unataka kutuma ujumbe kwa wapokeaji kadhaa, gusa Anza mazungumzo ya kikundi, chagua wapokeaji wote, na uguse navigate_next.
  4. Andika ujumbe wako katika kisanduku cha ujumbe.
  5. Gusa send.
Kidokezo: Ikiwa unataka kutuma picha katika ujumbe, gusa Picha, gusa picha unayotaka kushiriki, na uguse share. Chagua Barua pepe.

Soma ujumbe

  1. Gusa Barua pepe.
  2. Gusa ujumbe unaotaka kusoma. Unaweza pia kusoma ujumbe kutoka kwenye paneli ya taarifa. Telezesha chini kutoka juu ya skrini, na uguse ujumbe.

Jibu ujumbe

  1. Gusa Barua pepe.
  2. Gusa ujumbe unaotaka kujibu.
  3. Andika jibu lako kwenye kisanduku cha maandishi chini ya ujumbe na uguse send.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Linda simu yako kwa kufuli ya skrini
  • Tumia skrini ya mguso
Unganika na marafiki na familia yako
  • Simu
  • Anwani
  • Tuma na upokee ujumbe
  • Barua
  • Tangamana na watu

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you