Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 4.2

Skip to main content
All Devices

Nokia 4.2

Anwani

Hifadhi na upange nambari za simu za marafiki na wanafamilia wako.

Hifadhi jina kutoka kwenye historia ya simu

  1. Kwenye Simu, gusa schedule ili uone historia ya simu.
  2. Gusa nambari unayotaka kuhifadhi.
  3. Chagua kama unataka Ongeza anwani mpya au Ongeza kwenye anwani.
  4. Charaza maelezo ya mawasiliano, na uguse done.

Ongeza anwani

  1. Gusa Anwani > Ongeza anwani mpya.
  2. Jaza maelezo.
  3. Gusa done.

Hariri jina

  1. Gusa Anwani na uguse jina unalotaka kuhariri.
  2. Gusa edit.
  3. Hariri maelezo.
  4. Gusa done.

Tafuta anwani

  1. Gusa Anwani.
  2. Gusa search.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Linda simu yako kwa kufuli ya skrini
  • Tumia skrini ya mguso
Unganika na marafiki na familia yako
  • Simu
  • Anwani
  • Tuma na upokee ujumbe
  • Barua
  • Tangamana na watu

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you