Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 6300 4G

Skip to main content
All Devices

Nokia 6300 4G

Saa

Jifunze jinsi ya kutumia saa na vipima saa kuwa wakati unaofaa.

Weka kengele

Huna saa? Tumia simu yako kama saa ya kengele.

  1. Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Saa.
  2. Chagua Mpya > Saa, tumia kitufe cha kutembeza ili uweke saa, na uchague Hifadhi.
  3. Ikiwezekana, weka kengele kuridia na uipe kengele jina.
  4. Chagua Hifadhi.

Ikiwa mara kwa mara unahitaji kengele kwa wakati mmoja, lakini hutaki kuiweka ijirudie, tembeza kengele na uchague WASHA. Kengele hutoa sauti wakati ambao ulibainisha.

Kipima saa

Ikiwa unahitaji kengele lakini hutaki kuunda moja kwenye saa ya kengele, tumia kipima saa. Kwa mfano, unaweza kupima saa ya chakula kinachopikwa jikoni.

  1. Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Saa.
  2. Tembeza kulia kwenye Kipima saa.
  3. Chagua WEKA, na utumie kitufe cha kutembeza ili uweke muda unaohitajika.
  4. Chagua ANZA.

Saa ya michezo

  1. Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Saa.
  2. Tembeza kulia kwenye Saa ya michezo na uchague ANZA.
  3. Chagua Mzunguko wakati mzunguko umekamilika.

Ili kukomesha saa ya michezo, chagua SITISHA > Weka upya.

Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
Panga siku yako
  • Saa
  • Kalenda
  • Kikokotoo
  • Madokezo
  • Kigeuzaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you