Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 6300 4G

Skip to main content
All Devices

Nokia 6300 4G

Majina

Ongeza jina

Hifadhi na upange nambari za simu za marafiki wako.

  1. Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Anwani.
  2. Chagua Mpya.
  3. Andika jina na nambari ya simu ya mwasiliani.
  4. Chagua HIFADHI.

Chagua Chaguo > Mipangilio > Kumbukumbu ili uchague kama utahifadhi majina kwenye kumbukumbu ya simu au kwenye SIM kadi.

Nakili wasiliani

Nakili majina kati ya SIM kadi yako na simu.

Ili kunakili wasiliani kati ya simu yako na SIM kadi, katika orodha ya wasiliani, chagua Chaguo > Nakili wasiliani, na uchague kama utanakili wasiliani kutoka kwenye simu au SIM kadi.

Ili kushiriki mwasiliani na rafiki, tembeza mwasiliani, chagua Chaguo > Shiriki, kisha chagua kama utashiriki mwasiliani kwa kutuumia barua pepe, kutuma ujumbe au Bluetooth, kwa mfano.

Pigia simu jina

Unaweza kupigia simu jina moja kwa moja kutoka kwenye orodha ya majina.

  1. Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Anwani.
  2. Tembeza kwa mwasiliani na ubonyeze .
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
Unganika na marafiki na familia yako
  • Simu
  • Majina
  • Tuma ujumbe
  • Tuma barua

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you