Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 6300 4G

Skip to main content
All Devices

Nokia 6300 4G

Sanidi na uwashe simu yako

Jifunze jinsi ya kuingiza SIM kadi, kadi ya kumbukumbu, na betri, na jinsi ya kuwasha simu yako.

Nano-SIM

Nano-SIM
Muhimu: Kifaa hiki kimeundwa ili kutumiwa na SIM kadi ndogo pekee tu. Matumizi ya kadi zisizotangamana za SIM zinaweza kuharibu kadi au kifaa, na zinaweza kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Kadi za kumbukumbu za MicroSD

Kadi za kumbukumbu za MicroSD

Tumia tu kadi za kumbukumbu zinazotangamana zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki. Kadi zisizotangamana zinaweza kuharibu kadi na kifaa na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Kumbuka: Zima kifaa na usiiunganishe na chaja au kifaa kingine chochote kabla ya kubandua vifuniko vyovyote. Epuka kugusa visehemu vya elektroniki wakati wa kubadilisha vifuniko vyovyote. Daima hifadhi na kutumia kifaa kikiwa na vifuniko vyake vimewekwa.

Fungua kifuniko cha nyuma

Fungua kifuniko cha nyuma
  1. Weka kucha yako ya kidole katika nafasi ndogo chini ya simu, inua na uondoe kifuniko.
  2. Ikiwa betri iko ndani ya simu, itoe.

Ingiza SIM kadi

Ingiza SIM kadi
  1. Telezesha kishikio cha SIM kadi upande wa kushoto na ukifungue.
  2. Weka nano-SIM katika nafasi ya SIM ikiangalia chini.
  3. Funga kishikiliaji, na uitelezeshe upande wa kulia ili uifunge mahali pake.

Ingiza SIM kadi ya pili

Ingiza SIM kadi ya pili
  1. Telezesha kishikilia SIM kadi cha kipenyo cha SIM2 upande wa kulia na uifungue.
  2. Weka nano-SIM katika kipenyo cha SIM2 ikiangalia chini.
  3. Funga kishikiliaji, na ukitelezeshe upande wa kushoto ili ukifunge mahali pake. SIM kadi zote zinapatikana kwa wakati mmoja wakati kifaa hakitumiki, lakini ijapokuwa SIM kadi moja inatumika, kwa mfano, kwa kupiga simu, ile nyingine haipatikani.
Dokezo: Ili kujua kama simu yako inaweza kutumia SIM kadi 2, angalia lebo kwenye furushi la mauzo. Ikiwa kuna misimbo 2 ya IMEI kwenye lebo, una simu ya SIM mbili.

Ingiza kadi ya kumbukumbu

Ingiza kadi ya kumbukumbu
  1. Telezesha kadi ya kumbukumbu kwenye nafasi ya kadi ya kumbukumbu.
  2. Rudisha betri.
  3. Rudisha kifuniko cha nyuma.

Washa simu yako

Bonyeza na ushikilie kitufe cha nishati hadi simu iteteme.

Chagua ni SIM kadi gani itatumika

  1. Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Mipangilio > Mtandao na Muunganisho > Kidhibiti SIM.
  2. Ili kuchagua ni SIM gani ya kutumia kupiga simu, chagua Simu Zinazotoka, na uchague SIM1 au SIM2.
  3. Ili kuchagua ni SIM gani ya kutumia kwa ujumbe, chagua Ujumbe unaotoka, na uchague SIM1 au SIM2.
  4. Ili kuchagua ni SIM gani ya kutumia kwa data ya simu, chagua Data, na uchague SIM1 au SIM2.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you