Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 7.1

Skip to main content
All Devices

Nokia 7.1

Furahia kwa kutumia kamera

Unataka kucheka? Jaribu animoji tofauti. Au ikiwa unaonekana mchovu, tumia kichujio kupiga picha ya urembo.

Tumia animoji

Gusa Kamera > .
  • Ili kupiga picha ya animoji ya rafiki yako, lenga kamera kwenye uso wa rafiki yako, chagua mhusika mnyama, na uguse panorama_fish_eye.
  • Ili kupiga picha yako ya animoji, gusa , chagua mhusika mnyama, na uguse panorama_fish_eye.
  • Ili kupiga picha za kisanii, gusa palette, na uteue kutoka kwa chaguo tofauti.

Piga picha ya urembo

Hata baada ya usiku mrefu, unaweza bado kuonekana vizuri. Piga picha binafsi kwa kutumia kichujio cha urembo.

  1. Gusa Kamera > .
  2. Gusa > Weka urembo, na ukokote kitelezi kama upendavyo.
  3. Gusa panorama_fish_eye.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Kamera
  • Misingi ya kamera
  • Rekodi video
  • Tumia kamera yako kama mtaalamu
  • Furahia kwa kutumia kamera
  • Hifadhi picha na video zako kwenye kadi ya kumbukumbu
  • Picha na video zako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you