Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 7.1

Skip to main content
All Devices

Nokia 7.1

Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu

Ingiza SIM na kadi ya kumbukumbu

Ingiza SIM na kadi ya kumbukumbu
  1. Fungua trei ya SIM na kadi ya kumbukumbu: sukuma pini ya kufungua trei ndani ya shimo la trei na uondoe trei.
  2. Ikiwa una simu ya SIM moja, weka kadi ya nano-SIM kwenye kipenyo 1 na kadi ya kumbukumbu kwenye kipenyo 2 kwenye trei eneo la mguso likiangalia chini. Ikiwa una simu ya SIM mbili, weka kadi ya nano-SIM kwenye kipenyo 1 na aidha SIM ya pili au kadi ya kumbukumbu kwenye kipenyo 2 kwenye trei eneo la mguso likiangalia chini 1.
  3. Telezesha trei kwenye kipenyo chake. Tumia tu kadi za kumbukumbu zinazotangamana zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki. Kadi zisizotangamana zinaweza kuharibu kadi na kifaa na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.
Kumbuka: Ikiwa una SIM Mbili yenye trei moja pekee ya SIM, huwezi kutumia SIM kadi mbili na kadi ya kumbukumbu kwa wakati mmoja.

Ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu

  1. Fungua trei ya SIM na kadi ya kumbukumbu: sukuma pini ya kufungua trei ndani ya shimo la trei na uondoe trei.
  2. Ondoa kadi.
  3. Telezesha trei kwenye kipenyo chake.

Muhimu: Usiondoe kadi ya kumbukumbu wakati programu inaitumia. Kufanya hivyo kunaweza kuharibu kadi ya kumbukumbu na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you