Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 7.1

Skip to main content
All Devices

Nokia 7.1

Okoa gharama ya utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida

Unaweza kupunguza gharama za utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida na kuokoa pesa kwenye bili ya simu yako kwa kubadilisha mipangilio ya data ya simu. Ili kutumia mbinu bora ya muunganisho, badilisha mipangilio ya Wi-Fi na mitandao ya simu.

Utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida humaanisha kutumia simu yako kupokea data kwenye mitandao ambayo mtoa huduma wako wa mtandao hamiliki au kuendesha. Kuunganisha kwenye intaneti wakati unatumia data ya nje ya mtandao wako wa kawaida, hasa ukiwa ng'ambo, kunaweza kuongeza gharama ya data pakubwa.

Kutumia muunganisho wa Wi-Fi kwa kawaida huwa haraka na bei nafuu kuliko kutumia muunganisho wa data ya simu. Kama miunganisho yote ya Wi-Fi na data ya simu inapatikana, simu hutumia muunganisho wa Wi-Fi.

Unganisha kwenye mtandao wa Wi-Fi

  1. Gusa Mipangilio > Mtandao na Intaneti > Wi-Fi.
  2. Hakikisha mtandao wa Wi-Fi umewekwa kwa Washa.
  3. Chagua muunganisho unaotaka kutumia.

Funga muunganisho wa data ya simu

Telezesha chini kuanzia juu ya skrini, gusa network_cellData ya simu na uzime data ya simu.
Dokezo: Ili kufuata matumizi ya data yako, gusa Mipangilio > Mtandao na Intaneti > Matumizi ya data.

Komesha utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida

Gusa Mipangilio > Mtandao na Intaneti > Mtandao wa simu, na uzime Utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida.
Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza au ondoa SIM na kadi ya kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Kuweka ID ya alama ya kidole
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Fungua na ufunge programu
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Picha za skrini
  • Maisha ya betri
  • Okoa gharama ya utumiaji data nje ya mtandao wako wa kawaida
  • Andika maandishi
  • Tarehe na saa
  • Saa na kengele
  • Kikokotoo
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you