Nokia G100 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia G100

Pata programu kutoka kwenye Google Play

Ongeza mbinu ya malipo

Ili utumie huduma za Google Play, unahitaji kuongeza akaunti ya Google kwenye simu yako. Mabadiliko yanaweza kutumika kwa baadhi ya maudhui yanayopatikana kwenye Google Play. Ili kuongeza mbinu ya malipo, gusa Play Store, gusa nembo yako ya Google kwenye sehemu ya utafutaji, na kisha uguse Malipo na usajili. Hakikisha kila wakati una kibali kutoka kwa mmiliki wa mbinu ya malipo wakati unanunua maudhui kutoka Google Play.

Pakua programu

  1. Gusa Play Store.
  2. Gusa upau wa utafutaji ili utafute programu, au chagua programu kutoka kwenye mapendekezo yako.
  3. Katika ufafanuzi wa programu, gusa sakinisha ili upakue na usakinishe programu.

Ili kuona programu zako, nenda kwenye skrini ya mwanzo na utelezeshe juu kutoka chini ya skrini.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Keys and parts
  • Insert the SIM and memory cards
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Programu, visasisho, na hifadhi nakala
  • Pata programu kutoka kwenye Google Play
  • Sasisha programu ya simu yako
  • Hifadhi nakala ya data yako
  • Rejesha mipangilio halisi na uondoe maudhui binafsi kwenye simu yako

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you