Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia T21

Skip to main content
All Devices

Nokia T21

Maisha ya betri

Kuna hatua unazoweza kuchukua kuokoa nishati kwenye kompyuta kibao yako.

Ongeza maisha ya betri

Kuokoa nishati:

  1. Daima chaji betri kabisa.
  2. Nyamazisha sauti zisizohitajika, kama vile sauti za mguso. Gusa Mipangilio > Sauti, na uchague ni sauti gani za kuweka.
  3. Tumia vifaa vya sauti vyenye waya, badala ya kipasa sauti.
  4. Weka skrini ili kuzima baada ya muda mfupi. Gusa Mipangilio > Skrini > Muda wa kuisha wa skrini na uchague muda.
  5. Gusa Mipangilio > Skrini > Hali ya mwangaza. Ili kurekebisha mwangaza, kokota kitelezi cha hali ya mwangaza. Hakikisha kwamba Mwangaza uliorekebishwa umezimwa.
  6. Komesha programu kufanya kazi kichinichini.
  7. Tumia huduma za eneo kwa kuchagua: zima huduma za eneo wakati hauzihitaji. Gusa Mipangilio > Eneo, na uzime Tumia Eneo.
  8. Tumia miunganisho ya mtandao kwa kuchagua: Washa Bluetooth wakati inahitajika tu. Komesha kompyuta yako kutafuta mitandao inayopatikana ya pasi waya. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti > Intaneti, na uzime Wi-Fi.
Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji kompyuta kibao yako
  • Washa na usanidi kompyuta kibao yako
  • Funga au fungua kompyuta kibao yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ufikiaji
  • Tumia taa ya usiku

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you