Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia T21

Skip to main content
All Devices

Nokia T21

Dhibiti sauti

Badilisha sauti

Ili kubadilisha sauti ya kompyuta kibao, bonyeza vitufe vya sauti.

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwani kufanya hivyo kunaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au vifaa vyovyote vya sauti kando na vile vilivyoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti.

Badilisha sauti ya midia na programu

  1. Bonyeza kitufe cha sauti ili uone mwambaa wa kiwango cha sauti.
  2. Gusa more_horiz.
  3. Kokota kitelezi kwenye miambaa ya viwango vya sauti kushoto au kulia.
  4. Gusa IMEKAMILIKA.

Weka kompyuta kibao kimya

  1. Bonyeza kitufe cha sauti.
  2. Gusa notifications_none > notifications_off.
Did you find this helpful?
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji kompyuta kibao yako
  • Washa na usanidi kompyuta kibao yako
  • Funga au fungua kompyuta kibao yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ufikiaji
  • Tumia taa ya usiku

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you