HMD Skyline user guide

Skip to main content
All devices
Download

HMD Skyline

Download

Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe

Washa mwendelezo wa kumbukumbu

Ikiwa simu yako inakubali kipengele cha RAM pekee, unaweza kufungua programu zaidi kichini chini na ubadilishe kwa urahisi kati ya programu hizo. Ili kuwasha kipengele, gusa Mipangilio > Kumbukumbu, na uwashe Mwendelezo wa kumbukumbu. Ukiulizwa, gusa ukubwa wa kumbukumbu unayotaka.

Kutumia mwendelezo wa kumbukumbu (RAM peke) kunahitaji nafasi ya kutosha ya hifadhi. Ili kulinda hifadhi, mwendelezo wa kumbukumbu hulemazwa kiotomatiki na kabisa mara tu asilimia 90 ya kikomo cha matumizi kinapofikiwa. Hii inaweza kufanyika baada ya miaka 4 ya matumizi mengi.

Safisha kumbukumbu

Ili kusafisha kumbukumbu ya simu yako na kuondoa programu zisizohitajika zinazoendeshwa kichini chini, gusa Mipangilio > Kumbukumbu, chagua programu unazotaka kufunga, na uguse Ongeza. Ikiwak kuna programu ambazo unazitaka ziwe zinaendeshwa kichini chini kila wakati, zitenge kwenye usafishaji: gusa Mipangilio > Kumbukumbu > Programu zilizotengwa, na uwashe programu unazotaka ziendelee kufunguliwa.

Did you find this helpful?

Useful links

Software updatesProduct warrantyFull specificationsEnvironmental profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe
  • Ufikiaji

Set Location And Language